Tazama uwezo wa Infinix note 40 pro katika kuzuia majia na pia ubora katika vipengele vingine vya hii simu na sifa zake zote muhimu
Tazama uwezo wa Infinix note 40 pro katika kuzuia majia na pia ubora katika vipengele vingine vya hii simu na sifa zake zote muhimu
Kuna teknolojia mpya ya betri imezipa betri za simu uwezo mkubwa sana Kwa sababu ya hii teknolojia simu zinakaa mpaka SIKU NNE bila kuchaji Na si siku nne ukiwa unaitumia […]
Ukitaka kununua simu kitu kimojawapo utakachoambiwa ni ukubwa wa RAM Utasikia ukubwa wake ni GB 128 na RAM GB 8. Kwa asiyefahamu anaweza kujiuliza RAM ni nini na ina msaada […]
Tecno Spark 50 Pro imekuja na vitu viwili vya kipekee Na ndicho kinachotengeneza utofauti na toleo la tecno spark 40 pro Ila kwa jicho la haraka unaweza kudhani sifa za […]
Infinix Hot 70 imeundwa katika muktadha wa kuifanya iwe na bei ndogo Ni simu nzuri kutigemeana na aina ya matumizi Kwa sifa zake wapo watakaoona hii simu inawafaa Ila wanaotaka […]
Wazo moja kuhusu “[VIDEO]-Ubora wa Kamera, uimara wa kuzuia maji, sifa na bei ya Infinix Note 40 Pro”
Nataka infix yenye kioo Kama Cha Samsung 0784/889950