SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani

Kanusho

Sihaba Mikole

SimuNzuri inakusanya data za simu mbalimbali kutoka vyanzo vingine katika uandaaji wa makala.

Hivyo inaweza kuweka link ya tovuti nyingine ili upate taarifa zaidi.

SimuNzuri haihusiki na chochote kuhusu sera za faragha na ukusanyaji data za tovuti ambazo utazikuta kwenye post za simunzuri.com

Taarifa zote za simu zinazotelewa na simunzuri.com zinaweza zisiwe sahihi kwa 100% hivyo msomaji anashauriwa pia kupitia vyanzo mbalimbali kujiridhisha.

SimuNzuri haimiliki simu yoyote kupata taarifa za simu bali tunategemea vyanzo vingi vya uhakika kwa ajili ya kufanya tathmini.

Picha za simu zinakusanywa kutoka kwenye tovuti ya kampuni husika na wala si kwa kupiga picha.

SimuNzuri inakaribisha masahihisho pale unapoona kuna makosa.

Makosa ya kimaandishi yanaweza yakatokea na kuwepo kwenye makala zetu.

Bei za simu zinatofautiana kutoka mkoa mmoja hadi mwingine.

Hivyo simunzuri.com haiwezi kukuhakikishia usahihi wa bei za simu zilizpo humu kulingana na eneo unaloishi.

Kwa sasa simunzuri.com haiuzi simu wala vifaa vya kiielektroniki wala haishiriki kwenye affilite market.

Lakini hilo linaweza badirika wakati wowote bila kukutaarifu

Na pia simunzuri.com na mmiliki wake hatohusika na lolote endapo unanunua simu kupitia namba ambayo umepewa na muendeshaji wa simunzuri.com

E-mail : simunzuriblog@gmail.com

Simu: +255 624 21 30 48

Kabila, Magu

Mwanza, Tanzania

SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani
TUFUATE
Youtube Facebook Instagram twitter

E-mail : simunzuriblog@gmail.com

Simu: +255 683 420 543

Whatsapp: +255 756 077 262

Kabila, Magu

Mwanza, Tanzania

Company