Smartphone zimegawanyika katika makundi matatu
Katika makundi hayo kuna aina za simu mbali mbali zinatofautiana ubora na bei
Huu ndio mgawanyo uliopo
Simu za daraja la chini linakupa simu za bei rahisi kwa utendaji mdogo
Daraja la kati linakupa simu zenye uwezo wa wastani na processor zenye nguvu
Daraja la juu linauhisha simu kali kuanzia kamera, kioo, network yenye nguvu na bei huwa ipo juu.
Hapa kuna orodha ya simu 12 za aina tatu.
Simu za Daraja la chini
Hili ni daraja linalohusisha simu nyingi za bei nafuu.
Hizi ni simu ubora wa chini kwenye vitu vingi ikiwemo kamera
Utendaji wa processor huwa ni mdogo.
Ni daraja linalohusisha aina za simu maalum kwa anayeanza kutumia smartphone
Hizi ni baadhi ya simu za daraja la chini
Simu ya iTel A58
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | IPS LCD |
Softawre |
|
Memori | 16GB na RAM 1GB |
Kamera | Kamera mbili
|
Muundo | Urefu-6.6inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya itel a58(TSH) | 182,490/= |
Simu ya Vivo y21
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | IPS LCD, |
Softawre |
|
Memori | 128GB,64GB na RAM 4GB |
Kamera | Kamera mbili
|
Muundo | Urefu-6.51inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya vivo y21(TSH) | 428,000/= |
Simu ya Tecno spark 7
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | IPS LCD, |
Softawre |
|
Memori | eMMc 5.1, 32GB, 64GB na RAM 2GB,3GB,4GB |
Kamera | Kamera mbili
|
Muundo | Urefu-6.5inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya Tecno Spark 7(TSH) | 235,191.11/= |
Simu ya Samsung A03S
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | IPS LCD, |
Softawre |
|
Memori | eMMc 5.1, 32GB, 64GB na RAM 2GB,3GB,4GB |
Kamera | Kamera mbili
|
Muundo | Urefu-6.5inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya Samsung Galaxy A03S(TSH) | 320,000/= |
Simu za Daraja la kati
Daraja la kati linahusisha simu zenye bei ya wastani.
Mara nyingi linahusisha simu za laki nne kwenda juu
Baadhi ya simu mpya za daraja zinazipita simu za zamani za daraja la juu.
Hizi hapa ni simu chache nzuri za daraja la kati
Simu ya Oppo A96 5G
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g and 5g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | OLED |
Softawre |
|
Memori | UFS 2.2, 128GB,256GB na RAM 8GB |
Kamera | Kamera MBILI
|
Muundo | Urefu-6.43inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya oppo a96 5g(TSH) | 718,152.29/= |
Simu ya Infinix Zero X
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g na 4G |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | AMOLED, Refresh rate:120Hz |
Softawre |
|
Memori | UFS 2.2, 128GB na RAM 8GB |
Kamera | Kamera tatu
|
Muundo | Urefu-6.67inchi |
Chaji na Betri |
|
Simu ya Samsung Galaxy A52S
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g and 5g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | Super AMOLED, Refresh rate:120Hz |
Softawre |
|
Memori | 128GB,256GB na RAM 8GB,6GB |
Kamera | Kamera NNE
|
Muundo | Urefu-6.5inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya ya samsung galaxy a52s(TSH) | 856,180/= |
Simu ya Redmi Note 10
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | Super AMOLED, |
Softawre |
|
Memori | UFS 2.2, 64GB,128GB na RAM 4GB,6GB |
Kamera | Kamera tatu
|
Muundo | Urefu-6.43inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya redmi note 10(TSH) | 464,945/= |
Simu za Daraja la juu
Daraja la juu linahusisha aina za simu zenye bei kubwa zaidi duniani
Bei kubwa inasababishwa na kuwa na hardware zenye ubora mkubwa.
Ni daraja lenye simu zinazotumia processor zenye nguvu sana na kamera kali
Hizi ni baadhi ya hizo
Simu ya iPhone 13 Pro Max
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g and 5g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | Super Retina XDR OLED |
Softawre |
|
Memori | NVMe,
128GB,256GB,512GB, 1TB na RAM 6GB |
Kamera | Kamera nne
|
Muundo | Urefu-6.7inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya iPhone 13 Pro Max(TSH) | 2,538,690/= |
Simu ya Samsung Galaxy S22 Ultra
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g and 5g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | Dynamic AMOLED 2X, Refresh rate:120Hz |
Softawre |
|
Memori | UFS 3.1, 128, 256,512, 1TB na RAM 8GB, 12GB |
Kamera | Kamera nne
|
Muundo | Urefu-6.8inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya Samsung Galaxy S22 Ultra(TSH) | 2,768,491/= |
Simu ya Sony Xperia Pro-I
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g and 5g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | OLED, Refresh rate:120Hz |
Softawre |
|
Memori | UFS 3.1, 512GB na RAM 12GB |
Kamera | Kamera nne
|
Muundo | Urefu-6.5inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya Sony Xperia Pro-I(TSH) | 2,789,670/= |
Simu ya OnePlus 10 Pro
Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
---|---|
Network | 2g, 3g, 4g and 5g |
Processor(SoC) |
|
Display(Kioo) | LTPO2 Fluid AMOLED, Refresh rate:120Hz |
Softawre |
|
Memori | UFS 3.1, 128GB, 256GB,512GB, na RAM 8GB, 12GB |
Kamera | Kamera nne
|
Muundo | Urefu-6.7inchi |
Chaji na Betri |
|
Bei ya OnePlus 10 Pro(TSH) | 1,766,791/= |
Kwa ni nini ni muhimu kujua aina za simu
Kuelewa aina za simu inasaidia kuzifahamu tabia za smartphone kwa kuzingatia
Utaweza kujua ni kundi la simu unazimudu
Hii itafanya kuelewa sababu ya simu kuuzwa chini ya laki mbili
Na pia utaelewa sababu ya baadhi ya simu kuuzwa zaidi ya milioni mbili
Kila daraja linaonyesha uwezo wa simu kiutendaji
Neno la Mwisho
Kwa bajeti ya chini ya laki mbili itakupa simu ya daraja la chini
Kwa sababu zake ni za chini.
Ila utendaji na ubora wa kamera na kioo ni mdogo sana
Ukitaka simu yenye utendaji mkubwa na camera bora
Itabidi bajeti iyoongezeke kwa ajaili ya kununua simu za daraja la kati au la juu.
Kwa sababu madaraja hayo yanahusisha simu zenye bei kubwa zaidi duniani.
Maoni 43 kuhusu “Aina za Simu na Bei Zake [Simu 12]”
Hongereni kwa kazi nzuri
Hongereni mnafanya kazi nzuri sanaaa
Shukrani
Nahitaji smart phone ya bei ya laki moja 100,000
Hizi unaweza kupata za itel lakini sio 100,000 itakubidi uongeze kidogo
Kwani smart phone nokia ina bei ya kuanzia Tsh ngapi?
nyingi zinaanzaia 250,000 na kuendelea
Mbona uja orodhesha aina zote za simu
Japo si rahisi kuorodhesha simu zote, tutaongeza simu nyingi kadri tuwezavyo
Samsung s10 saiz nishingap
Ivi samsung a12 saiv ni shingap?
Iv samsung a12 saiv n sh ngapi?
Ya GB 128 ni shilingi 350,000
Naomba kujua Bei ya oppo a83
niliwa na 300000napata simi gani ya faraja la kati kwa sasa?
Kuna tecno spark 10c, samsung a04 na redmi 10c
Tecno Spark 10 ni daraja gan!!??
Naomba kujua bei ya infinix 30i ram 16gb 256gb
Hakuna yenye ram 16
nina laki 5 na hamsin simu gan nzur inayotunza chaji nipate
Zipo nyingi kuanzia redmi,Samsung oppo infinix nk
Nina laki na nusu je ni simu gani inayonifaa yenye kasi ya 4g na android ya kum8
Kuna itel na simu zingine za zamani yaani used
Nina laki na nusu je ni simu gan inayonifaa yenye kasi ya 4g na android ya kumi
Naomba kujua ntapata wapi simu inaitwa LeEco S1 Pro
Nina laki 650,000 napata simu gani kali aina i phone yenye ram 8 na Gb 128
Kwa bei hii zipo nyingi
Redmi note 10 mnauzaje
Laki NNE Kwa sasa
lak na nusu napata sm gan nzuri
Simu za itel na Tecno pop 2
Naomba kujua Tecno pop 7 shingapi
N co na ksh8000, na n nata sim n gani boa
Ngumu Sana kupata nzuri Kwa bei hiyo
Naomba kujua Bei ya oppo Reno z used na specification zk
Naomba kuboresha zaidi huduma zenu Kwa ajili ya wateja
Mimi nataka cm ya lakimoja tu ila naihitaji ndani ya mwezi huu naipataje??? inayoweza kuingia youtube,twitter,whatasap,na internet zingine ukitaka unanipigia kwa cm namba, 06132024480 cm nzuri na cover nzuri natokea kigoma kagera_nkanda ,kasulu.
Good luck kiongozi
Aina gani za simu za 280000
Naomba kujua bei ya simu aina ya Tecno Spark 7 kwa mwaka 2024
Upatikanaji wake hii ni changamoto ila nitaaliangalia
SAMSUNG S10PLUS USED INAPATIKANA WAPI NA BEI GANI
Google pixel daraja la Kati ni bei gani