SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani

Simu ya bei kubwa duniani 2022 (Ubora na Udhaifu)

Uncategorized

Sihaba Mikole

April 13, 2022

Mpaka sasa mwaka 2022 simu ya bei kubwa zaidi duniani ni Falcon Supernova iPhone 6 Pink Diamond

Bei ya Falcon iPhone 6 Pink Diamond iliyowekewa almasi yenye rangi ya pink ni shilingi bilioni 113

Ukitoa uwepo wa almasi, simu haina ubora wowote kwa miaka ya sasa

Kwani ni iphone 6 ambalo ni toleo la zamani

falcon iphone 6 pink diamond simu ya gharama zaidi duniani

Hatutuangazia hii simu kwa vyovyote kwa sababu ni simu ambayo haiendani na maudhui ya ukurasa wetu.

Lakini ukitaka kuifahamu kiundani pitia kurasa zifuata.

https://www.cnet.com/news/us-military-confirms-an-interstellar-meteorite-hit-earth-in-2014/

https://www.luxuryproperty.com/the-10-most-expensive-smartphones-in-the-world

Kwenye hizo kurasa utaona simu zingine za bei ya gharama zaidi duniani.

Ni simu za hanasa zaidi kuliko kimatuzi.

Jitathmini kama unaweza kuimiliki

Simu zingine zinazouzwa bei kubwa duniani ni

  1. Gresso Las Vegas Jackpot bei yake ni shilingi bilioni 2.4
  2. Goldvish Le Million bei yake ni shilingi bilioni 3.1
  3.  Diamond Crypto Smartphone bei yake ni shilingi bilioni 3.1
  4. iPhone 4 Diamond Rose Edition bei yake ni shilingi bilioni 19
  5. iPhone 4S Elite Gold bei yake ni shilingi bilioni 22
  6.  Vertu Signature Cobra bei yake ni shilingi milioni 710

Hizi ni baadhi na nyingine sio smartphone, pitia linki nilizoweka kujua sababu ya hizi kuwa na bei ya mabilioni ya shilingi

 

Maoni 4 kuhusu “Simu ya bei kubwa duniani 2022 (Ubora na Udhaifu)

Maoni na Maswali

Email yako haitochapishwa, kwenye alama * lazima pajazwe ili ukomenti

SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani
TUFUATE
Youtube Facebook Instagram twitter

E-mail : simunzuriblog@gmail.com

Simu: +255 683 420 543

Whatsapp: +255 756 077 262

Kabila, Magu

Mwanza, Tanzania

Company