Mpaka sasa mwaka 2022 simu ya bei kubwa zaidi duniani ni Falcon Supernova iPhone 6 Pink Diamond
Bei ya Falcon iPhone 6 Pink Diamond iliyowekewa almasi yenye rangi ya pink ni shilingi bilioni 113
Ukitoa uwepo wa almasi, simu haina ubora wowote kwa miaka ya sasa
Kwani ni iphone 6 ambalo ni toleo la zamani
Hatutuangazia hii simu kwa vyovyote kwa sababu ni simu ambayo haiendani na maudhui ya ukurasa wetu.
Lakini ukitaka kuifahamu kiundani pitia kurasa zifuata.
https://www.cnet.com/news/us-military-confirms-an-interstellar-meteorite-hit-earth-in-2014/
https://www.luxuryproperty.com/the-10-most-expensive-smartphones-in-the-world
Kwenye hizo kurasa utaona simu zingine za bei ya gharama zaidi duniani.
Ni simu za hanasa zaidi kuliko kimatuzi.
Jitathmini kama unaweza kuimiliki
Simu zingine zinazouzwa bei kubwa duniani ni
- Gresso Las Vegas Jackpot bei yake ni shilingi bilioni 2.4
- Goldvish Le Million bei yake ni shilingi bilioni 3.1
- Diamond Crypto Smartphone bei yake ni shilingi bilioni 3.1
- iPhone 4 Diamond Rose Edition bei yake ni shilingi bilioni 19
- iPhone 4S Elite Gold bei yake ni shilingi bilioni 22
- Vertu Signature Cobra bei yake ni shilingi milioni 710
Hizi ni baadhi na nyingine sio smartphone, pitia linki nilizoweka kujua sababu ya hizi kuwa na bei ya mabilioni ya shilingi
Maoni 6 kuhusu “Simu ya bei kubwa duniani 2022 (Ubora na Udhaifu)”
Sifa ya simu kubwa
Ziko vizuri sana je samsung bei yake
Samsung ipi
Bei gani
motorlollar inauzwa bei gani?
Toleo gani