SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani

Kampuni bora za Simu duniani (2024/2025)

VIDEOS

Sihaba Mikole

January 12, 2025

Pamoja na uwepo wa makampuni zaidi ya 100 ya kutengeneza simu bado kampuni zilezile zimeendelea kushika soko kwa sehemu kubwa duniani, kampuni hizo ni apple, samsung na xiaomi na nyinginezo.

Zipo ambazo zimefanya vizuri kwenye utoaji wa simu za madaraja ya kati na kampuni nyingine zimafanya vizuri kwa kuuza simu za madaraja ya juu, sasa zijue zote kiundani zilizoshika usukani kwenye soko la simujanja(smartphones)

Maoni 10 kuhusu “Kampuni bora za Simu duniani (2024/2025)

Maoni na Maswali

Email yako haitochapishwa, kwenye alama * lazima pajazwe ili ukomenti

Fuatilia Zaidi

Hizi ndizo simu zenye uwezo mkubwa wa betri kupitiliza

Kuna teknolojia mpya ya betri imezipa betri za simu uwezo mkubwa sana Kwa sababu ya hii teknolojia simu zinakaa mpaka SIKU NNE bila kuchaji Na si siku nne ukiwa unaitumia […]

Bei ya Redmi 17 na Sifa Zake

Unataka simu ya bei nafuu inayoambatana na mifumo inayobamba ya AI Simu mpya ya Redmi 17 4G yaweza kuwa chaguo sahihi Redmi 17 inakupa uwezo wa kuigeuza “wallpaper” kuwa picha […]

Bei ya Google Pixel 11 Pro na Sifa Zake

Google Pixel 11 Pro imewasili Lakini kuna jambo moja litakalokufanya ufikilie kununua hii simu. Jambo hilo ni bei yake. Bei ya Google Pixel 11 Pro ni shilingi milioni 3 kwa […]

Ifahamu RAM ni Nini na Inatumikaje kwenye simu

Ukitaka kununua simu kitu kimojawapo utakachoambiwa ni ukubwa wa RAM Utasikia ukubwa wake ni GB 128 na RAM GB 8. Kwa asiyefahamu anaweza kujiuliza RAM ni nini na ina msaada […]

SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani
TUFUATE
Youtube Facebook Instagram twitter

E-mail : simunzuriblog@gmail.com

Simu: 0756 077262 au 0683 420543

Whatsapp: +255 756 077 262

Kabila, Magu

Mwanza, Tanzania

Company