Pamoja na uwepo wa makampuni zaidi ya 100 ya kutengeneza simu bado kampuni zilezile zimeendelea kushika soko kwa sehemu kubwa duniani, kampuni hizo ni apple, samsung na xiaomi na nyinginezo.
Zipo ambazo zimefanya vizuri kwenye utoaji wa simu za madaraja ya kati na kampuni nyingine zimafanya vizuri kwa kuuza simu za madaraja ya juu, sasa zijue zote kiundani zilizoshika usukani kwenye soko la simujanja(smartphones)