SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani

[VIDEO]:Simu zote za iPhone za bei ndogo na zinazofaa

VIDEOS

Sihaba Mikole

June 29, 2024

Kabla ya kununua iphone za bei rahisi ambazo mara nyingi huwa ni used, kitu cha kwanza cha kuangalia ni kama itakuwa inapata sapoti ya kupokea mfumo endeshi wa iOS

Tofauti na hapo unaweza ukanunua iphone itakayokupa changamoto ya kupokea matoleo mapya ya apps muhimu

Hivyo hii video imeeleza kinaga ubaga iphone sahihi za bei nafuu za kununua kwa mwaka huu ambayo itakupa uwezo wa kutumia miaka mingi bila shida

Maoni na Maswali

Email yako haitochapishwa, kwenye alama * lazima pajazwe ili ukomenti

Fuatilia Zaidi

samsung a06

[VIDEO]-ubora wa picha na kiutendaji wa Samsung Galaxy A06

Hii ni video inayokupa nafasi kushuhudia sifa za ziada za samsung galaxy a06 hasa upande wa kamera Kama hujui, Galaxy A06 NI simu mpya ya daraja la chini ambayo imetoka […]

No Featured Image

Bei ya Samsung Galaxy A06 na Ubora wake

Samsung Galaxy A06 ina betri inayokaa na chaji muda mrefu na ni simu ya daraja la chini Hii inamaanisha watu wengi kwa hapa Tanzania wanaweza inunua Kwa sababu bei ya […]

No Featured Image

Bei ya Tecno Spark 30C na Sifa Zake Muhimu

Tecno wameleta toleo jipya la simu ya madaraja ya chini yenye maboresho Ina maboresho upande wa skrini(kioo) kuwa na refresh rate kubwa ambayo mara hupatikana kwenye simu za daraja la […]

No Featured Image

Bei ya iPhone 16 Pro na Sifa zake Muhimu

Kampuni ya Apple imeingiza matoleo mapya ya iphone Moja ya iPhone hiyo ni iPhone 16 Pro, ina ufafanano kwa sehemu ya kimuundo na iPhone 15 Pro Yapo mazuri lakini yapo […]

SimuNzuri

Zigundue Sifa Za Simu Bora Kiundani
TUFUATE
Youtube Facebook Instagram twitter

E-mail : simunzuriblog@gmail.com

Simu: 0756 077262 au 0683 420543

Whatsapp: +255 756 077 262

Kabila, Magu

Mwanza, Tanzania

Company