Huu ni muendelezo mwingine wa simu tano ambazo hazitumikii sana na watanzania. Lakini kiulimwengu ni kati ya simu bora duniani kwa mwaka 2024.
Hizi ni simu zenye utendaji mkubwa kwenye kila kipengele, uwe ni mpenzi wa kamera nzuri, mpenzi wa kucheza gemu, kutumia intaneti muda wote hakuna kitu kitu ambacho zitashindwa kwa ustadi
Na uzuri zaidi simu hizi zitakuwa zinapokea maboresha ya android upande wa mfumo endeshi kwa muda mrefu.
Maoni 4 kuhusu “[VIDEO]: Simu bora duniani na bei zake 2024”
Naomba mnishauli simu inayoingiza magemu kuanzia 20
Zipo nyingi nunua yenye ukubwa WA GB kuanzia 256
Habari, Naomba ushauri, wa ni simu gani nzuri inayoweza kutunza charge muda mrefu
Zipo nyingi inategemea na bajeti yako kutoka Tecno, Samsung, redmi na iPhone na nyinginezo